Tahiyyat-ul-Masjid kwa aliyetoka msikitini kisha akarudi

141 – Aliulizwa Shaykh kuhusu mtu ambaye ametoka msikitini kisha akarudi – je, ataswali swalah ya mamkuzi ya msikiti?

Jibu: Ndio.

Swali 142: Hata kama muda wa kutoka na kurudi ni mfupi?

Jibu: Ndio, kwa mujibu wa ujumla wa dalili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 69
  • Imechapishwa: 27/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´