Swawm ya mwanamke mwenye hedhi aliyesafika kabla ya alfajiri

Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye hedhi akisafika kabla ya alfajiri afunge siku hiyo?

Jibu: Afunge siku hiyo na aoge hata kama itakuwa baada ya alfajiri kuingia. Kuchelewesha kuoga mpaka baada ya alfajiri hakuathiri swawm.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/327-328)
  • Imechapishwa: 18/06/2017