Swawm ya ambaye amenuia kwenda katika mwaliko kisha baadaye akapatwa na dharurah

Swali: Kuna bwana mmoja alikuwa amefunga na akaalikwa na mtu. Akanuia kuitikia mwaliko huo lakini akafikwa na dharurah na hivyo akaacha kwenda. Je, swawm yake ni sahihi?

Jibu: Swawm yake bado ipo mpaka afungue.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24644/حكم-من-نوى-الفطر-من-صومه-ولم-يفعل
  • Imechapishwa: 21/11/2024