Msimamo wa wanachuoni juu ya vita vya Syria na ´Iraaq

Swali: Ni upi msimamo wa wanachuoni kutokana na yanayoendelea Syria na ´Iraaq na yale yanayoitwa ´Jihaad katika njia ya Allaah`?

Jibu: Wanawaombea waislamu uokozi, nusura na msaada. Hawawezi zaidi ya hayo. Wanasaidia familia zinazohitajia na mafakiri. Huu ndio msimamo wa waislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015