Swali: Ni ipi hukumu ya kuingiza msahafu chooni?

Jibu: Wanachuoni wanasema kuwa haijuzu kwa mtu kuuingiza msahafu chooni. Kwa sababu msahafu, kama inavyotambulika, una heshima na taadhima ambazo hazistahiki kuuingiza sehemu hii.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/109)
  • Imechapishwa: 13/06/2017