Swali: Je, inajuzu kuswali swalah za naafilah zisizofungana kati ya adhaana na iqaamah baada ya adhaana ya Fajr?
Jibu: Ndio. Akitaka mtu kuswali Tahiyyat-ul-Masjid kisha ndio aswali Sunnah ya Fajr ni sawa. Akitosheka na Sunnah ya Fajr na asiswali Tahiyyat-ul-Masjid inatosha. Yote mawili yanafaa.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
- Imechapishwa: 03/01/2018
Swali: Je, inajuzu kuswali swalah za naafilah zisizofungana kati ya adhaana na iqaamah baada ya adhaana ya Fajr?
Jibu: Ndio. Akitaka mtu kuswali Tahiyyat-ul-Masjid kisha ndio aswali Sunnah ya Fajr ni sawa. Akitosheka na Sunnah ya Fajr na asiswali Tahiyyat-ul-Masjid inatosha. Yote mawili yanafaa.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
Imechapishwa: 03/01/2018
https://firqatunnajia.com/swalah-za-sunnah-zisizofungana-baada-ya-adhaana-ya-fajr/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)