Swali: Ni ipi hukumu ya swalah ya mwanamke akiwa amevaa vifuniko vya mikono?
Jibu: Hapana neno kuswali akiwa amevaa vifuniko vya mikono, jambo ambalo ndio sitara zaidi kwake, au aswali kwa jilbaab yake aliyoivaa au kwa nguo nyingine. Kufanya hivo ndio bora na kusibaki wazi isipokuwa uso tu, hilo ndio bora zaidi. Akifunua viganja vyake viwili, swalah yake ni sahihi kwa mujibu wa maoni sahihi zaidi miongoni mwa wanazuoni. Haya yote ni ikiwa yuko mahali pasipo na mwanaume asiye Mahram wake. Ama ikiwa yupo mwanaume ambaye si Mahram wake, basi afunike mwili wote hata uso wake akiwa katika swalah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/227)
- Imechapishwa: 26/02/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya swalah ya mwanamke akiwa amevaa vifuniko vya mikono?
Jibu: Hapana neno kuswali akiwa amevaa vifuniko vya mikono, jambo ambalo ndio sitara zaidi kwake, au aswali kwa jilbaab yake aliyoivaa au kwa nguo nyingine. Kufanya hivo ndio bora na kusibaki wazi isipokuwa uso tu, hilo ndio bora zaidi. Akifunua viganja vyake viwili, swalah yake ni sahihi kwa mujibu wa maoni sahihi zaidi miongoni mwa wanazuoni. Haya yote ni ikiwa yuko mahali pasipo na mwanaume asiye Mahram wake. Ama ikiwa yupo mwanaume ambaye si Mahram wake, basi afunike mwili wote hata uso wake akiwa katika swalah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/227)
Imechapishwa: 26/02/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-mwanamke-akiwa-na-glavu/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket