Swalah ya mamkuzi ya msikiti katika msikiti wa Makkah

Swali: Ni jambo lenye kujulikana juu ya kwamba Rak´ah mbili kwenye Msikiti Mtakatifu ni Twawaaf…

Jibu: Kwa mtu mwenye kufika Makkah, ndio. Ama kwa wale wanaoishi Makkah, wanatakiwa kuswali zile Rak´ah mbili kama misikiti mingine yote; wakiingia na kutaka kukaa waswali Rak´ah mbili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-%201%20-%202%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015