Ndoa msikitini kwa ajili ya baraka

Swali: Je, inajuzu kufunga ndoa kwenye msikiti mtakatifu kwa ajili ya baraka? Je, inajuzu kutabaruku kwenye msikiti mtakatifu na maeoneo ya jirani yake?

Jibu: Hapana. Inajuzu kufunga ndoa kwenye misikiti yote. Inajuzu, lakini mtu asiamini ya kwamba hili lina baraka zaidi kuliko sehemu nyenginezo. Mtu asiamini hivi, sawa ikiwa ni kwenye msikiti mtakatifu au msikiti mwingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-%201%20-%202%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015