Swali: Je, mtu aswali tena swalah ya mamkuzi ya msikiti ikiwa alikuwa kwenye darsa kisha akaenda chooni?
Jibu: Aswali swalah ya mamkuzi ya msikiti akiondoka, akajitwahirisha na kurudi. Aswali swalah ya mamkuzi ya msikiti. Aswali Sunnah ya wudhuu´ na swalah ya mamkuzi ya msikiti zote mbili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22572/هل-يعيد-تحية-المسجد-من-خرج-ثم-عاد-اليه
- Imechapishwa: 06/07/2023