Swalah ya kupatwa kwa jua kwa wanawake majumbani

191 – Nilimuuza Shaykh wetu kama wanawake wanatakiwa kuswali swalah ya kupatwa kwa jua nyumbani?

Jibu: Ndiyo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 84
  • Imechapishwa: 05/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´