Swalah ya jeneza kwa maiti aliyepasukapasuka na kukatika vipande

307 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu maiti aliyepasuka na kukatika vipande akusanywe na kuswaliwa?

Jibu: Ndio.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 110
  • Imechapishwa: 24/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´