Swalah ya ´iyd karibu na makaburi

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali swalah ya ´iyd katika uwanja ambao uko karibu na makaburi ikiwa hautambuliki uwanja mwingine wa kuswalia?

Jibu: Ikiwa makaburi yako nje ya uwanja huo, haina neno.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 327
  • Imechapishwa: 04/06/2025