Swali: Kugeuka wakati wa haja hakuharibu swalah?

Jibu: Hapana, kugeuka wakati wa haja hakuharibu swalah. Hapana vibaya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24087/حكم-الالتفات-للحاجة-في-الصلاة
  • Imechapishwa: 25/08/2024