Imamu rasmi anawaamrisha waswaliji waswali tena

Swali: Inafaa kwa imamu kuwaamrisha maamuma kurudia kuswali tena pale anapofika na kuwakuta wameshaswali?

Jibu: Haijuzu kwake, haijuzu kwake. Ni vipi atawaamrisha kuswali tena? Hata hivyo wanatakiwa wasimtangulie mbele mpaka pale ambapo utapita ule muda ambao wamemzowea yeye kufika.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24088/هل-للامام-الراتب-المتاخر-الامر-باعادة-الصلاة
  • Imechapishwa: 25/08/2024