Swalah ya ambaye hakuanza kupangusa uso wakati wa Tayammum

Swali 132: Je, kuanza na uso wakati wa Tayammum ni wajibu?

Jibu: Ndiyo, kwa mujibu wa Aayah.

Swali 133: Je, mtu aliyeswali bila kufuata mpangilio anatakiwa kurudia swalah yake?

Jibu: Hapana, lakini akirudia kuswali kwa ajili ya kuchukua tahadhari ni vyema zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 64-65
  • Imechapishwa: 25/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´