Swali 285: Nini maana ya makanusho ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliposema:

”Hapana swalah wakati chakula kishatengwa… ”?

Jibu: Makanushao ya ukamilifu. Hiko ndio kinachotambulika kwa wanazuoni.

Swali 286: Anayo hukumu moja yule ambaye anamtamani mke wake?

Jibu: Huyu anaweza kuwa na matamanio zaidi kuliko ambaye anatamani chakula. Watu wako sampuli mbalimbali na hivyo wanatofautiana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 102
  • Imechapishwa: 17/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´