Swali: Aliyeswali akiwa amevaa vazi lililoporwa – Je, anatakiwa kuamrishwa kurudia swalah?
Jibu: Lililo karibu zaidi – na Allaah anajua zaidi – ni kwamba haamrishwi kurudia kwa mujibu wa kanuni. Ni kama mtu aliswali kwa makusudi katika nguo najisi.
ar-Raajihiy: Je, swalah katika nguo iliyoporwa ni kama swalah katika ardhi iliyoporwa?
Ibn Baaz: Swalah ni sahihi. Hilo ndilo sahihi zaidi. Ardhi iliyoporwa nguo iliyoporwa – swalah ni sahihi kwa sababu katazo halikuhusiana moja kwa moja na swalah, bali ni kwa ajili ya kitendo cha kupora, nacho ni katazo la jumla kwa mwenye kuswali na asiyeswali. Tofauti na kitu kinachohusiana moja kwa moja na swalah kama najisi na mfano wake.
Mwanafunzi: Kwa maana ya kwamba haamrishwi kurudia?
Ibn Baaz: Ndiyo, haamrishwi kurudia. Lakini anatakiwa kurudisha haki kwa mwenyewe, ni mamoja iwe ni ardhi au nguo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31578/هل-يومر-بالاعادة-من-صلى-بثوب-مغصوب
- Imechapishwa: 07/11/2025
Swali: Aliyeswali akiwa amevaa vazi lililoporwa – Je, anatakiwa kuamrishwa kurudia swalah?
Jibu: Lililo karibu zaidi – na Allaah anajua zaidi – ni kwamba haamrishwi kurudia kwa mujibu wa kanuni. Ni kama mtu aliswali kwa makusudi katika nguo najisi.
ar-Raajihiy: Je, swalah katika nguo iliyoporwa ni kama swalah katika ardhi iliyoporwa?
Ibn Baaz: Swalah ni sahihi. Hilo ndilo sahihi zaidi. Ardhi iliyoporwa nguo iliyoporwa – swalah ni sahihi kwa sababu katazo halikuhusiana moja kwa moja na swalah, bali ni kwa ajili ya kitendo cha kupora, nacho ni katazo la jumla kwa mwenye kuswali na asiyeswali. Tofauti na kitu kinachohusiana moja kwa moja na swalah kama najisi na mfano wake.
Mwanafunzi: Kwa maana ya kwamba haamrishwi kurudia?
Ibn Baaz: Ndiyo, haamrishwi kurudia. Lakini anatakiwa kurudisha haki kwa mwenyewe, ni mamoja iwe ni ardhi au nguo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31578/هل-يومر-بالاعادة-من-صلى-بثوب-مغصوب
Imechapishwa: 07/11/2025
https://firqatunnajia.com/swalah-ndani-ya-vazi-na-ardhi-ya-kupora/