Swali: Je, inajuzu kuswali ikiwa nywele za sehemu za siri zitakuwa ndefu?
Jibu: Inajuzu kuswali. Lakini haifai kuziacha zaidi ya siku arobaini, kwa sababu imekuja Sunnah kukataza kuziacha zaidi ya siku arobaini.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/123)
- Imechapishwa: 21/10/2026
Swali: Je, inajuzu kuswali ikiwa nywele za sehemu za siri zitakuwa ndefu?
Jibu: Inajuzu kuswali. Lakini haifai kuziacha zaidi ya siku arobaini, kwa sababu imekuja Sunnah kukataza kuziacha zaidi ya siku arobaini.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/123)
Imechapishwa: 21/10/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-kwa-aliye-na-nywele-ndefu-za-sehemu-za-siri/