Swali: Nimesoma tarehe 28/2/1405 H kuhusu mtoto aliyezaliwa akiwa tayari ametahiriwa katika Hospitali ya az-Zaahir huko Makkah. Je, mnaonaje kuhusu jambo hilo? Mimi najua kwamba hakuna aliyewahi kutahiriwa isipokuwa Nabii, lakini Nabii wetu ndiye wa mwisho wa Mitume na dini yetu ndiyo dini ya mwisho?
Jibu: Jambo hilo linaweza kutokea kwa wasiokuwa Mitume, kwa sababu si miongoni mwa sifa maalum za Mitume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam).
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/122-123)
- Imechapishwa: 21/10/2026
Swali: Nimesoma tarehe 28/2/1405 H kuhusu mtoto aliyezaliwa akiwa tayari ametahiriwa katika Hospitali ya az-Zaahir huko Makkah. Je, mnaonaje kuhusu jambo hilo? Mimi najua kwamba hakuna aliyewahi kutahiriwa isipokuwa Nabii, lakini Nabii wetu ndiye wa mwisho wa Mitume na dini yetu ndiyo dini ya mwisho?
Jibu: Jambo hilo linaweza kutokea kwa wasiokuwa Mitume, kwa sababu si miongoni mwa sifa maalum za Mitume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam).
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/122-123)
Imechapishwa: 21/10/2026
https://firqatunnajia.com/mtoto-amezaliwa-akiwa-ameshatahiriwa/