Swali 6127: Je, inakubaliwa swalah ya mtu aliyeacha nywele za sehemu zake za siri bila kuzinyolewa kwa muda wa mwezi mmoja?
Jibu: Kunyoa nywele za sehemu za siri, kwa maana nywele zinazoota kuzunguka sehemu ya mbele, ni miongoni mwa Sunnah za kimaumbile. Haifai kuziacha zaidi ya siku arobaini bila kunyoa kwa mujibu wa Hadiyth iliyothibiti kuhusu jambo hilo. Kuchelewesha kunyoa kwake zaidi ya siku arobaini hakuathiri kusihi kwa swalah. Kusema kwamba hilo linaathiri kusihi kwa swalah ni ujinga wa hukumu za Shari´ah Tukufu.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/126)
- Imechapishwa: 21/10/2026
Swali 6127: Je, inakubaliwa swalah ya mtu aliyeacha nywele za sehemu zake za siri bila kuzinyolewa kwa muda wa mwezi mmoja?
Jibu: Kunyoa nywele za sehemu za siri, kwa maana nywele zinazoota kuzunguka sehemu ya mbele, ni miongoni mwa Sunnah za kimaumbile. Haifai kuziacha zaidi ya siku arobaini bila kunyoa kwa mujibu wa Hadiyth iliyothibiti kuhusu jambo hilo. Kuchelewesha kunyoa kwake zaidi ya siku arobaini hakuathiri kusihi kwa swalah. Kusema kwamba hilo linaathiri kusihi kwa swalah ni ujinga wa hukumu za Shari´ah Tukufu.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/126)
Imechapishwa: 21/10/2026
https://firqatunnajia.com/kusihi-kwa-swalah-aliyerefusha-nywele-za-sehemu-za-siri/