ar-Raajihiy: Je, ni sahihi kuswali juu ya paa la Nyumba ya Allaah?
Ibn Baaz: Hadiyth zote zinazokataza hilo ni dhaifu. Kuswali juu ya paa la Nyumba ya Allaah ni sahihi, kama vile kuswali juu ya mlima Abu Qubays au sehemu za juu za miji… hewani ni sawa, hakuna tatizo.
ar-Raajihiy: Vipi kuhusu maoni yanayosema kuwa swalah ya faradhi haisihi juu ya paa la Nyumba ya Allaah lakini ya Sunnah inasihi?
Ibn Baaz: Zote zinasihi. Lakini inapendeza zaidi kuswali faradhi nje, ingawa zote ni sahihi. Hata hivyo kuswali faradhi nje ni jambo zuri ili kuepuka tofauti za maoni.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31613/ما-حكم-الصلاة-فوق-ظهر-الكعبة
- Imechapishwa: 08/11/2025
ar-Raajihiy: Je, ni sahihi kuswali juu ya paa la Nyumba ya Allaah?
Ibn Baaz: Hadiyth zote zinazokataza hilo ni dhaifu. Kuswali juu ya paa la Nyumba ya Allaah ni sahihi, kama vile kuswali juu ya mlima Abu Qubays au sehemu za juu za miji… hewani ni sawa, hakuna tatizo.
ar-Raajihiy: Vipi kuhusu maoni yanayosema kuwa swalah ya faradhi haisihi juu ya paa la Nyumba ya Allaah lakini ya Sunnah inasihi?
Ibn Baaz: Zote zinasihi. Lakini inapendeza zaidi kuswali faradhi nje, ingawa zote ni sahihi. Hata hivyo kuswali faradhi nje ni jambo zuri ili kuepuka tofauti za maoni.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31613/ما-حكم-الصلاة-فوق-ظهر-الكعبة
Imechapishwa: 08/11/2025
https://firqatunnajia.com/swalah-juu-ya-mgongo-wa-kabah/