Kila aina ya kuamrisha mema ni swadaqah na kila aina ya kukataza maovu ni swadaqah. Kufundisha elimu kunaingia pia katika hayo. Hii ni miongoni mwa aina za swadaqah. Yule mwenye kulazimiana na elimu, sawa kwa kujifunza na kufundisha, hakika ni mwenye kutoa swadaqah kwa kila muda sawa na kukapua macho, anajitolea swadaqah yeye mwenyewe na vilevile wengine. Kwa ajili hii ndio maana wanachuoni ni watu wenye ujira mkubwa endapo watakuwa na nia njema.
- Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 362
- Imechapishwa: 14/05/2020
Kila aina ya kuamrisha mema ni swadaqah na kila aina ya kukataza maovu ni swadaqah. Kufundisha elimu kunaingia pia katika hayo. Hii ni miongoni mwa aina za swadaqah. Yule mwenye kulazimiana na elimu, sawa kwa kujifunza na kufundisha, hakika ni mwenye kutoa swadaqah kwa kila muda sawa na kukapua macho, anajitolea swadaqah yeye mwenyewe na vilevile wengine. Kwa ajili hii ndio maana wanachuoni ni watu wenye ujira mkubwa endapo watakuwa na nia njema.
Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 362
Imechapishwa: 14/05/2020
https://firqatunnajia.com/swadaqah-kwa-kujifunza-na-kufundisha-elimu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)