Swali: Je, kuna dalili inayofahamisha kusoma Suurah “al-A´laa” na “al-Kaafiruun” kabla ya Witr?
Jibu: Ndio. Kumekuja yenye kufahamisha kwamba mtu akiswali Rak´ah tatu basi asome katika ile ya kwanza “al-A´laa”, Rak´ah ya pili asome “al-Kaafiruun” na ya tatu asome “al-Ikhlaasw” baada ya al-Faatihah.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
- Imechapishwa: 26/03/2018
Swali: Je, kuna dalili inayofahamisha kusoma Suurah “al-A´laa” na “al-Kaafiruun” kabla ya Witr?
Jibu: Ndio. Kumekuja yenye kufahamisha kwamba mtu akiswali Rak´ah tatu basi asome katika ile ya kwanza “al-A´laa”, Rak´ah ya pili asome “al-Kaafiruun” na ya tatu asome “al-Ikhlaasw” baada ya al-Faatihah.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
Imechapishwa: 26/03/2018
https://firqatunnajia.com/suurah-zinazotakiwa-kusomwa-katika-witr/