Swali: Ni ipi hukumu ya wanaume kuvaa suruwali?
Jibu: Haina neno ikiwa ni yenye kusitiri. Ni sawa ikiwa si yenye kujifananisha na maadui wa Allaah kwa sababu waislamu wanaivaa. Hapana neno ikiwa waislamu wanaivaa na haipelekei kujifananisha na maadui wa Allaah na inafunika vile viungo visivyotakiwa kuonekana.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22977/ما-حكم-لبس-البنطلون-للرجال
- Imechapishwa: 06/10/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)