Swali: Je, ni kweli kwamba swalah yoyote ya sunnah pasi na Raatibah zinazoanza baada ya Maghrib huzingatiwa ni katika swalah ya kisimamo cha usiku?
Jibu: Baada ya ´Ishaa na si baada ya Maghrib. Kwa sababu yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiswali swalah ya usiku baada ya ´Ishaa na si baada ya Maghrib.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 179
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Je, ni kweli kwamba swalah yoyote ya sunnah pasi na Raatibah zinazoanza baada ya Maghrib huzingatiwa ni katika swalah ya kisimamo cha usiku?
Jibu: Baada ya ´Ishaa na si baada ya Maghrib. Kwa sababu yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiswali swalah ya usiku baada ya ´Ishaa na si baada ya Maghrib.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 179
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/sunnah-yoyote-inayoswaliwa-baada-ya-ishaa/