Sunnah ya usiku Rak´ah nne kwa salamu moja

258 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu aliyeswali usiku kwa kinyume cha yaliyopokelewa, kama ambaye ameswali Rak´ah nne mfululizo – je, swalah hiyo ni sahihi?

Jibu: Jambo lililo karibu zaidi ni kwamba si sahihi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 97
  • Imechapishwa: 10/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´