Sunnah ya Rak´ah nane kwa salamu moja

257 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu anayeswali Rak´ah nane kwa salamu moja tu?

Jibu: Hilo ni kosa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 97
  • Imechapishwa: 10/05/2025