Sunnah ya Dhuhaa kwa mtazamo wa al-Fawzaan

Swali: Je, ni bora kwa muislamu kudumu kuswali swalah ya Dhuhaa´ kila siku au afanye baadhi ya siku na kuacha siku zengine?

Jibu: Hii ndio Sunnah. Aswali baadhi ya siku na kuacha siku zengine. Aswali siku moja na kuacha siku nyingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (93) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighstah%20-20-1-1440_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2019