Swali: Mtu akisilimu na jina lake kabla ya Uislamu ni katika yale yenye kujinasibisha kwamba ni mja wa asiyekuwa Allaah – je, ni lazima kulibadilisha?

Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alibadilisha majina ya watu waliosilimu na walikuwa na majina yenye kujinasibisha kwamba ni waja wa asiyekuwa Allaah ambapo akayabadilisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (93) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighstah%20-20-1-1440_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2019