Sunnah wakati wa kuosha pua katika kutawadha

Swali: Sunnah ni kuingiza maji puani kwa mkono wa kuume na kuyatoa kwa mkono wa kushoto?

Jibu: Sunnah ni kupandisha maji puani kwa mkono wa kuume, kwani hiyo ni ´ibaadah iliyokusudiwa na kupenga ni kuondosha vilivyo vibaya. Kwa hivyo kupandisha maji puani inakuwa kwa mkono wa kuume na kuyapenga inakuwa kwa mkono wa kushoto. Hivo ndio bora.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24721/ما-السنة-في-صفة-الاستنشاق-والاستنثار
  • Imechapishwa: 02/12/2024