Sujuud ya shukurani wakati wa kumuona mlemavu

Swali 237: Ni ipi hukumu ya sujuud ya shukurani wakati wa kumuona aliyepewa mtihani?

Jibu: Sijui jambo hilo ijapo ataleta hoja kwamba ni kwa sababu ya kusalimishwa. Sujuud ya shukurani inatambulika wakati wa kupata neema au kuepuka balaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 94
  • Imechapishwa: 08/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´