Swali 356: Nisujudu katika hali niliyomo kwa msemo mwingine bila kufunika kichwa na mwili kwenye kisomo kilicho na Sujuud?
Jibu: Hakuna neno kusujudu katika hali yoyte japokuwa ni kwa kichwa wazi na mfano wake kwa vile ninayapa nguvu maoni yanayosema kuwa sijda hii haina hukumu moja kama swalah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 138
- Imechapishwa: 27/09/2019
Swali 356: Nisujudu katika hali niliyomo kwa msemo mwingine bila kufunika kichwa na mwili kwenye kisomo kilicho na Sujuud?
Jibu: Hakuna neno kusujudu katika hali yoyte japokuwa ni kwa kichwa wazi na mfano wake kwa vile ninayapa nguvu maoni yanayosema kuwa sijda hii haina hukumu moja kama swalah.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 138
Imechapishwa: 27/09/2019
https://firqatunnajia.com/sujuud-ya-kisomo-si-kama-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket