Swali: Je, mgonjwa au msafiri anayeswali akiwa juu ya mnyama wa kupandwa na akifanya ishara anatakiwa kusujudu chini ardhini au afanye ishara kwa kuinamisha zaidi kuliko anavyoinama katika Rukuu´?
Jibu: Afanye ishara kwa kuinamisha zaidi kuliko Rukuu´.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
- Imechapishwa: 27/09/2026
Swali: Je, mgonjwa au msafiri anayeswali akiwa juu ya mnyama wa kupandwa na akifanya ishara anatakiwa kusujudu chini ardhini au afanye ishara kwa kuinamisha zaidi kuliko anavyoinama katika Rukuu´?
Jibu: Afanye ishara kwa kuinamisha zaidi kuliko Rukuu´.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
Imechapishwa: 27/09/2026
https://firqatunnajia.com/sujuud-na-rukuu-wakati-wa-kuswali-juu-ya-mnyama/