Swali: Ikiwa mtu yuko safarini kutoka Riyaadh kwenda mji ulio umbali wa 100 km, na anaondoka wakati wa adhuhuri na anarudi jioni kabla ya nusu ya usiku, je, inajuzu kwake kufupisha na kukusanya swalah?
Jibu: Ndiyo, hapana vibaya katika hilo. Ni mamoja awe amesafiri kwa ajili ya kujiburudisha, kwa ajili ya Hajj, jihaad au ´Umrah. Isipokuwa ikiwa safari hiyo ni kwa ajili ya kufanya maasi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
- Imechapishwa: 27/09/2026
Swali: Ikiwa mtu yuko safarini kutoka Riyaadh kwenda mji ulio umbali wa 100 km, na anaondoka wakati wa adhuhuri na anarudi jioni kabla ya nusu ya usiku, je, inajuzu kwake kufupisha na kukusanya swalah?
Jibu: Ndiyo, hapana vibaya katika hilo. Ni mamoja awe amesafiri kwa ajili ya kujiburudisha, kwa ajili ya Hajj, jihaad au ´Umrah. Isipokuwa ikiwa safari hiyo ni kwa ajili ya kufanya maasi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
Imechapishwa: 27/09/2026
https://firqatunnajia.com/kufupisha-na-kukusanya-swalah-katika-safari-ya-100-km/