Swali: Je, kutundika Subha juu ya gari ni kama hirizi?
Jibu: Haijuzu ikiwa lengo lake ni hilo. Ikiwa lengo lake ni kuzuia balaa haijuzu. Lakini hapana vibaya ikiwa kusudio lake ameitundika kwa lengo la pambo tu. Ni kama ambavo kunatundikwa juu ya ukuta Aayah kwa ajili ya kumbukumbu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24526/هل-تعليق-السبحة-في-السيارة-يعد-من-التماىم
- Imechapishwa: 25/10/2024
Swali: Je, kutundika Subha juu ya gari ni kama hirizi?
Jibu: Haijuzu ikiwa lengo lake ni hilo. Ikiwa lengo lake ni kuzuia balaa haijuzu. Lakini hapana vibaya ikiwa kusudio lake ameitundika kwa lengo la pambo tu. Ni kama ambavo kunatundikwa juu ya ukuta Aayah kwa ajili ya kumbukumbu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24526/هل-تعليق-السبحة-في-السيارة-يعد-من-التماىم
Imechapishwa: 25/10/2024
https://firqatunnajia.com/subha-kwenye-gari/