Swali: Kuna simu zinazoitwa “simu zenye akili” (Smart Phones)[1] ambazo zina programu nyingi na intaneti. Unatunasihi kuwaache wake zetu na watoto zetu wawe nazo. Sisi tunawatamania kheri na kuna jambo linaloendelea leo.

Jibu: Sio kheri. Simu hizi ulizotaja zina shari nyingi. Hata kama kuna kheri ndani yake ni ndogo na ya mshangao. Msiwaache wakawa nazo. Usiwaache wanawake zako na watoto wakawa nazo.

———–

(1) https://en.wikipedia.org/?title=Smartphone

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331116.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015