Siwaak mpya kwa mfungaji

Swali: Siwaak mpya inakuwa na joto na ladha?

Jibu: Vovyote itavyokuwa asimeze. Lakini ikiwa inachanganyika na mate basi si tatizo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 127
  • Imechapishwa: 04/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´