Swali: Je, ni wajibu kumtahiri msichana na ikiwa hakutahiriwa msimamizi wake anapata madhambi? Ni lipi bora?

Jibu: Hapana, sio wajibu kuwatahiri wasichana. Ni jambo limependekezwa. Sio wajibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1431-08-08.MP3
  • Imechapishwa: 21/04/2015