Sio kila maradhi ni uchawi au hasadi

Swali: Je, mtu anaweza kusema kwamba kila mtihani ni uchawi au hasadi?

Jibu: Hapana. Kuna mitihani na maradhi sampuli mbalimbali. Sio kila maradhi ni uchawi au hasadi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (60) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16548
  • Imechapishwa: 10/09/2017