Swali: Je, imethibiti kuwa Ibn Hazm (Rahimahu Allaah) anapinga karama?
Jibu: Sijui. Sijui hilo. Lakini hata hivyo anaweza kuwa anapinga yale yanayodaiwa kuwa ni karama. Pengine akawa anapinga yale yanayodaiwa kuwa ni karama ilihali sio karama. Sio kila kinachosemwa kuwa ni karama ni kweli.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2128
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Je, imethibiti kuwa Ibn Hazm (Rahimahu Allaah) anapinga karama?
Jibu: Sijui. Sijui hilo. Lakini hata hivyo anaweza kuwa anapinga yale yanayodaiwa kuwa ni karama. Pengine akawa anapinga yale yanayodaiwa kuwa ni karama ilihali sio karama. Sio kila kinachosemwa kuwa ni karama ni kweli.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2128
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/sio-kila-kinachodaiwa-ni-karama/