Sikukuu za batili

Swali: Watu watu ambao wamesema kuwa sikukuu ikiwa hazikufanywa kwa lengo la ´ibaadah na wala zikawa sio maalum kwa makafiri, basi haina neno kuzisherehekea. Mfano wa hizo ni kama sikukuu ya kuzaliwa, siku ya mwalimu na mfano wake. Je, upambanuzi huu ni sahihi?

Jibu: Tumesoma kuwa zote hizi ni batili. Haijuzu kitendo hichi.

Check Also

Makafiri wote ni maadui wa Allaah

Sisi tunamshuhudisha Allaah kwa yale aliyosema: ya kwamba kila kafiri basi ni adui wa Allaah …