Swali 165: Mtu anayekusudia kwenda msikitini siku ya ijumaa – Je, inajuzu kuzungumza huku imamu anakhutubu, naye bado hajaingia msikitini?

Jibu: Sijui.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 73
  • Imechapishwa: 03/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´