Sifa ya kuinua mikono wakati wa Takbiyrat-ul-Ihraam

Swali 247: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu namna ya kuweka mikono wakati wa Takbiyrat-ul-Ihraam – je, mikono iwe inakabiliana au ielekezwe upande wa Qiblah?

Jibu: Ielekezwe upande wa Qiblah. Shaykh wetu akainua mikono na kuelekeza vitanga upande wa Qiblah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 95
  • Imechapishwa: 09/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´