Swali: Ni lini hukatika jina la yatima? Je, kuna miaka maalum inayozingatiwa?
Jibu: Akishabaleghe unamalizika uyatima wake; anapofikisha miaka 15, kumwaga manii au kumea nywele sehemu za siri. Katika hali hiyo uyatima wake unamalizika. Kama ilivyokuja katika Hadiyth:
”Hakuna uyatima baada ya baleghe.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29084/%D9%85%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D9%8A%C2%A0%D9%8A%D9%86%D9%82%D8%B7%D8%B9-%D8%B9%D9%86%D8%AF%D9%87%D8%A7-%D8%A7%D8%B3%D9%85-%D8%A7%D9%84%D9%8A%D8%AA%D9%8A%D9%85
- Imechapishwa: 18/05/2025
Swali: Ni lini hukatika jina la yatima? Je, kuna miaka maalum inayozingatiwa?
Jibu: Akishabaleghe unamalizika uyatima wake; anapofikisha miaka 15, kumwaga manii au kumea nywele sehemu za siri. Katika hali hiyo uyatima wake unamalizika. Kama ilivyokuja katika Hadiyth:
”Hakuna uyatima baada ya baleghe.”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29084/%D9%85%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D9%8A%C2%A0%D9%8A%D9%86%D9%82%D8%B7%D8%B9-%D8%B9%D9%86%D8%AF%D9%87%D8%A7-%D8%A7%D8%B3%D9%85-%D8%A7%D9%84%D9%8A%D8%AA%D9%8A%D9%85
Imechapishwa: 18/05/2025
https://firqatunnajia.com/si-yatima-tena/