Shiy´ah al-Maamaqaaniy anakiri myahudi ndiye muasisi wa pote

´Abdullaah bin Sabaa´ ndiye yule ambaye aliritadi katika ukafiri na akachupa mipaka… Alikuwa ni mwenye kupindukia na kulaaniwa. Kiongozi wa waumini alimchoma moto. Alidai kwamba ´Aliy ni mungu na Mtume.

  • Mhusika: ´Abdullaah al-Maamaqaaniy (kfrk. 1351)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tanqiyh-ul-Maqaal (2/183-184)
  • Imechapishwa: 26/12/2018