Swali: Shirki ndogo ni dhambi kubwa zaidi kuliko madhambi makubwa?
Jibu: Ndio. Shirki ndogo ni dhambi kubwa zaidi kuliko madhambi makubwa. Kwa sababu haisemehewi kwa kule kuingia kwake katika ujumla wa Shirki.
Baadhi ya wanachuoni wengine wamesema hukumu yake ni kama dhambi kubwa na wameiweka chini ya matakwa ya Allaah.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11649
- Imechapishwa: 01/05/2015
Swali: Shirki ndogo ni dhambi kubwa zaidi kuliko madhambi makubwa?
Jibu: Ndio. Shirki ndogo ni dhambi kubwa zaidi kuliko madhambi makubwa. Kwa sababu haisemehewi kwa kule kuingia kwake katika ujumla wa Shirki.
Baadhi ya wanachuoni wengine wamesema hukumu yake ni kama dhambi kubwa na wameiweka chini ya matakwa ya Allaah.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11649
Imechapishwa: 01/05/2015
https://firqatunnajia.com/shirki-ndogo-haisamehewi/