Shingo halipanguswi wakati wa kutawadha

Swali: Vipi kuhusu kupangusa nyuma ya shingo?

Jibu: Hakuna kupangusa nyuma ya shingo, Hadiyth hiyo ni dhaifu. Hadiyth ya Twalhah bin Muswarrif ni dhaifu  na haiwezi kutegemewa kama hoja. Kwa hivyo haifai kupangusa shingo; unachopaswa kupangusa ni kichwa tu. Ama kuhusu Hadiyth ya Twalhah bin Muswarrif ni dhaifu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24724/حكم-مسح-القفا-والعنق-في-الوضوء
  • Imechapishwa: 03/12/2024