Sherehe za furaha na harusi misikitini

Swali: Je, inajuzu kufanya sherehe za furaha na harusi misikitini?

Jibu: Hapana, jambo tu linalohusiana na jihaad. Kwa sababu mchezo wa wahabashi ni miongoni mwa kupigana jihaad kwa mishale na kwa ngao. Ama yanayohusiana na furaha, huenda yakawa na shari katika msikiti, huenda yakawa na uharibifu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27769/حكم-اقامة-الافراح-والاعراس-في-المساجد
  • Imechapishwa: 17/04/2025