Sharti ya mgonjwa ya kutotoa malipo isipokuwa baada ya kupona

Swali: Baadhi ya wagonjwa wanawawekea sharti wale wafanya matabano ya kwamba hawatowapa malipo isipokuwa pale Allaah atapowaponya. Je, inafaa kuweka sharti hiyo?

Jibu: Ndio. Inafaa kwa mgonjwa au ambaye amepatwa ya kwamba akipona ndio atampa mfanya matabano kitu fulani.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/40)
  • Imechapishwa: 23/05/2026